Watu 6 Wafariki Kutokana na Kimbunga Aina ya Tornado Kilichoikumba Jimbo la Illinois Nchini Marekani


Kimbunga kikubwa aina ya Tornado kimeukumba Ukanda wa Kati Magharibu ya nchi ya Marekani, kikiharibu mazingira majengo, miundombinu na magari kwenye majimbo ya Illinois, Indiana na Kentucky.

Mpaka sasa watu sita wameripotiwa kufariki wote kutoka jimbo la Illinois, wengine wakihofiwa kuwa ndani ya majengo na mamia ya watu wakiwa wamejeruhiwa kutokana na kimbunga hicho cha kasi ya ajabu.

Cheki picha zaidi hapo chini...









No comments:

Post a Comment