Wanaume Ambao Wana Wanawake Wenye Mvuto Huridhika Kimahusiano Zaidi [UTAFITI]

Je ishu ni kuwa na mke wa furaha au maisha ya furaha? Ni swali gumu ila pia ni rahisi, hii ni kutokana na uliofanywa hivi karibuni ambao umebaini kwamba wanawake wenye mvuto ndio wanaoweza kusababisha uwepo na kudumu kwa mahusiano.

Kwenye somo hilo, wanasaikolojia waliofanya utafiti huo walikutana na watu walio kwenye mahusiano zaidi ya 450 katika kipindi cha miaka minne na kugundua hivyo.


SWALI LANGU: Je ni kweli kwamba muonekano au mvuto ndicho kitu kitakachopelekea kuwa na mahusiano ya kudumu...?

No comments:

Post a Comment