Ahukumiwa Kifo cha Kupigwa Mawe Mpaka Kufa Mara Baada ya Kumbaka na Kumpa Mimba Dada Yake


Jamaa mmoja mwenye umri wa miaka 30 aliyefahamika kwa jina la Umar Mohammed Kandahar amehukumiwa kifo cha kupigwa mawe mpaka kufa na mahakama ya Upper Sharia ya Bauchi mara baada ya kumbaka na kumpa mimba mdogo wake wa kike.

No comments:

Post a Comment