Wanaijeria 92 Wafariki Jangwa la Sahara kwa Kiu ya Maji [PICHA]

Jumla ya Wanaijeria 92 waliofariki kutokana sababu ya KIU kwenye Jangwa la Sahara walipokuwa njiani kuelekea nchini Algeria mara baada ya gari lao kuharibika wamezikwa leo na Maafisa wa Serikali ya Jimbo la Agadez.

Muandishi wa kigeni ambaye alikuwa shuhuda wa tukio hilo aliwaeleza Waandishi wa Sahara kwamba, wengi kati ya waliofariki walikuwa ni wanawake na watoto ambao miili yao iliishia kuliwa na wanyamana ndege wa kwenye jangwa hilo.



No comments:

Post a Comment