Lady Gaga Ampa Busu la Halloween Mshabiki wa Kike Ndani ya London [PICHA]
Kila mmoja naamini anafahamu msimamo wa Lady Gaga juu ya ishu za usagaji, hivyo isionekane kuwa kitu kipya na cha ajabu kwake kuamua kumpa mwanamke huyu busu la kimtindo.Mashabiki wake wengi ambao huendana naye wanafahamika kuwa moja kati ya watu wa kipekee duniani. Ilipofika Alhamisi kwenye sherehe za Halloween akiwa na mashabiki wake wa ukweli wa London, Lady Gaga aliamua kuwazawadia mashabiki hao aina ya busu hili la kimtindo.Angalia picha zaidi hapo chini alipokuwa London....
No comments:
Post a Comment