Papa Francis Akabidhiwa Jezi Namba 10 Yenye Jina Lake Mgongoni na Rais wa FIFA


Rais wa FIFA, Sepp Blatter hivi karibuni alimtembelea Pope Francis ndani ya Vatican, na katika ziara yake hiyo alimkabidhi Papa huyu maarufu jezi ya FIFA yenye namba 10 huku ikiwa na jina lake mgongoni.

Papa mwenye umri wa miaka 76 ni mmoja kati ya watu wanaopenda sana mpira wa miguu, alizaliwa ndani ya Argentina, kama mtoto wa wazazi wenye asili ya Italia.

No comments:

Post a Comment