MWISHO WA DUNIA: Lil Kim Ajiachia na Mambo Yake Hadharani [PICHA]

Rapa wa kike mwenye umri wa miaka 39 Lil Kim hivi karibuni akiwa anatumbuiza stejini jijini London aliamua kujiachia kiroho safi na kwa raha zake pasipo kuona kama kulikuwa na tatizo juu ya uvaaji na mitindo aliyokuwa akiifanya jukwaani.

Tafadhali mademu wa kibongo msiige na huu mtindo wa Lil Kim...... Angalia picha zaidi hapo chini.


No comments:

Post a Comment