TBC fm TOP 20 Wiki Iliyoishia Sept. 15

1. Tupogo - Ommy Dimpoz Feat. J Martin {#1wk1}
2. Yahaya - Lady JD {#1wk1}
3.  I Love You - Kassim Mganga
4.  Bila Kukunja Goti - Mwana FA & AY Feat. J Martin 
5. Pesonally  - P Square {#1wk5}
6. Weka Ngoma - Darasa Feat. Ditto
7. Nikumbatie - Joh Makini Feat. Fundi Samweli
8. Nakupenda Pia -Wyre Feat. Alaine 
9. Wasi Wasi - Vumbe
10. Kama Huwezi - Rama Dee Feat. Lady JD
11. Love Me - Izzo B Feat. Barnaba & Shaa
12. Majanga - Snura {#1wk2}
13. Nakomaa Na Jiji - Shilole {MPYA}
14.  Antenna - Fuse ODG
15. My Number One - Diamond {MPYA}
16. My Baby - Quick Racka Feat. Ngwea & Shaa
17. Nani Kamwaga Pombe Yangu - Madee Feat. Raymond {#1wk4}
18. Mwambie Mwenzio - Stamina Feat. Darasa & Warda
19. Sina Imani - Shetta Feat. Richie Mavoko
20. Kimbiji - Bob Jr. {MPYA}
Kila siku ya Jumapili Saa 8 mpaka 10 Jioni kupitia TBC fm na Dan Chibo
read more "TBC fm TOP 20 Wiki Iliyoishia Sept. 15"

Bolt Asema Mwaka 2013 Sio Mzuri Kwenye Mbio


Usain Bolt anaweza kuwa ameshinda mataji matatu ya dunia ila yeye mwenyewe anasema kwa sasa hayupo kwenye kiwango chake bora.

Bolt ameshinda mbio za mita 100 kwenye mashindano ya Diamond League yanayofanyika sels kwa kutukia sekunde 9.80, mbele ya Mike Rodgers wa Marekani aliyetumia sekunde (9.90) na Mjamaika mwenzake Nesta Carter aliyetumia (9.94).

"Nilipata majeraha mwanzoni kwa hiyo haukuwa msimu mzuri kwangu katika kipindi cha maisha yangu," alieleza BBC Sport.

"Kitu muhimu ni kwamba nimemeliza juu."
read more "Bolt Asema Mwaka 2013 Sio Mzuri Kwenye Mbio"

Wabambwa Wakifanya Ngono Kwenye Tax Mchana Kweupe (PICHA)

Wapenzi wa wawili nchini China walibambwa wakifanya mapenzi kwenye viti vya nyuma ya tax mchana kweupe.

Dereva mmoja aliamua kuwapiga picha wawili hao kwenye mida ambayo watu wengi huwa wako bize kwenye mitaa mingi ya jiji la Shangai.
 

Kwenye picha hizi ukiangalia utamuona mwanamke akiwa juu akimkumbatia mwanaume kwenye kiti cha nyuma cha tax huku kichwa cha mwanaume huyo kikiwa kimelala kwa nyuma kutokana na kukolezwa na tendo hilo.


Mwendesha pikipiki mmoja aliyeona tukio hilo la kushangaza alisema: 'Nilikuwa kwenye msafara karibu na wao na niliwaona wakiwa wanatomasana.

 'Baadaye wakakolea na kuamua kuanza kufanya ngono mule mule ndani ya tax na ndipo nilipoamua kuwapiga picha.' Alisema shuhuda huyo.


read more "Wabambwa Wakifanya Ngono Kwenye Tax Mchana Kweupe (PICHA)"

AY Msanii Pekee Toka Bongo Kwenye Nominees za Tuzo za Muziki za Channel O 2013 (ORODHA KAMILI)

Orodha ya wasanii walichaguliwa kushiriki kwenye tuzo za 10 za Channel O kwa mwaka 2013 zimetolewa leo ambapo kutoka Bongo msanii AY pekee ndiye aliyepata nafasi ya kuteuliwa kwenye vipengele viwili vya Most Gifted African East Video na kile cha Most Gifted Male Video.

Hii hapa ndio Orodha kamili....

Most Gifted Duo/Group/Featuring Video

 
Teargas “Wake Up”
Xtatic/AKA & Priddy Ugly “Hit ‘Em Up”
Mi Casa “Can’t Get Enough”
EME “Baddest Boy”
Naeto C ft D’Banj “Tony Montana” (Bad Pass) remix
ZoneFam “Contolola”


Most Gifted Newcomer Video


Moneoa “Is’bhanxa”
Lola Rae “Watch My Ting Go”
Khaya Mthethwa “Move”
Victoria Kimani “Mtoto”
Burna Boy “Tonight”


Most Gifted Female Video


Zonke “Feelings”
Lizha James ft Anselmo Ralph “Vais Rochar”
STL “Stella Stella Stella”
Tiwa Savage ft Don Jazzy “Without My Heart”
Toya Delazy “Heart”

Most Gifted Male Video

 
Donald “Over the Moon”
Zeus ft AKA & Tumi “#DatsWasup”
Wizkid “Azonto”
AY/Marco Chali “Party Zone”
Iyanya “Flavour”


Most Gifted Ragga/Dancehall Video

 
Buffalo Souljah “Basawine”
Kaakie “Too Much”
Jesse Jagz “Murder Dem”
P-Unit ft Collo “You Guy” (Dat Dendai)
Radio and Weasel “Can’t Let You Go”
Most Gifted Hip Hop Video
AKA “Jealousy”
Jayso & Sarkodie “Pizza & Burger”
Reason “Do it Like I Can”
iFani ft Blaksuga “Chocolate Vanilla”
E.L./M.anifest “Hallelujah”

Most Gifted R&B Video

 
Banky W “Yes/No”
Anselmo Ralph “Curticao”
Danny K “Brown Eyes”
Chase “Lonely”
Victoria Kimani/M.I “OYA”

Most Gifted Afro Pop Video

 
The Soil ft Zakwe “Iinkomo”
Sauti Sol “Money Lover”
2 Face Idibia “Ihe Ne Me”
The Muffinz “Umsebenzi Wendoda”
Davido “Gobe”


Most Gifted Dance Video


KCee “Limpopo”
Mafikizolo “Khona”
Fuse ODG ft Wyclef Jean “Antenna”
DJ Malvado ft Petty “Jamaica”
DJ Ganyani ft FB “Xigubu”


Most Gifted Kwaito Video

 
L’Vovo Derrango ft Professor “Palesa”
Professor ft Oskido & Character “Finger Prints”
EES “Woza December”
Kabelo “Impilo”
DJ Tira ft Big Nuz & Joocy “Summertime”


Most Gifted African West Video

 
D Prince “Goody Bag”
Ice Prince “Aboki”
R2Bees “Life (Walaahi)”
D-Black/Joey B “Vera”
Chidinma/Ill bliss/Tha suspect “Emi Ni Baller”
P Square “Alingo”


Most Gifted African East Video

 
AY/Marco Chali “Party Zone”
P-Unit ft Collo “You Guy” (Dat Dendai)
Radio and Weasel “Can’t Let You Go”
Sauti Sol “Money Lover”
Navio “Kata”
                                                  
Most Gifted African South Video

 
Dama Do Bling “My Eish”
Oskido “Tsa Mandebele”
Black Coffee ft Zakes Bantwini “Take it all Off”
Paul G ft Fabulous “Get Control”
DJ Dimplez ft L-Tido & Anatii “We Ain’t Leaving”
Khuli Chana “Hazzadazmove”


Most Gifted Video of the Year


Zeus ft AKA & Tumi “#DatsWasup”
Wizkid “Azonto”
STL “Stella Stella Stella”
Xtatic/AKA & Priddy Ugly “Hit ‘Em Up”
AKA “Jealousy”
Reason “Do it Like I Can”
Mafikizolo “Khona”
Fuse ODG ft Wyclef Jean “Antenna”
Ice Prince “Aboki”
R2Bees “Life” (Walaahi)
P Square “Alingo”
Paul G ft Fabulous “Get Control”
read more "AY Msanii Pekee Toka Bongo Kwenye Nominees za Tuzo za Muziki za Channel O 2013 (ORODHA KAMILI)"

Nyota Zamani wa Kundi la NSYNC Lance Bass Kuolewa na Boyfriend Wake


Wakiwa kwenye mahusiano toka December 2011, wawili hawa walichumbiana ndani ya New Orleans mara baada ya Bass alipendekeza hilo kwa mcheza filamu huyo na mwanamitindo.

Kama haitoshi aliwatumia ujumbe wazazi wa mume wake mtarajiwa kuwaomba ruhusa juu ya mpango wao.

Angalia tweet yake mara baada ya shughuli hiyo:

read more "Nyota Zamani wa Kundi la NSYNC Lance Bass Kuolewa na Boyfriend Wake"

Kili Records Kwenye Muonekano na Makazi Mpya (PICHA)

Hii ni Studio ya Kili Records ikiwa kwenye muonekano mpya na wa kisasa zaidi, kwa sasa imebadili makazi yake na inapatikana maeneo ya Kinondoni Studio kwenye barabara iendayo Stereo mkabala na FJ Hotel zamani Livingstone.

Cheki picha zaidi hapo chini...






Hongera Kili Records...
read more "Kili Records Kwenye Muonekano na Makazi Mpya (PICHA)"