Bolt Asema Mwaka 2013 Sio Mzuri Kwenye Mbio
Usain Bolt anaweza kuwa ameshinda mataji matatu ya dunia ila yeye mwenyewe anasema kwa sasa hayupo kwenye kiwango chake bora.
Bolt ameshinda mbio za mita 100 kwenye mashindano ya Diamond League yanayofanyika sels kwa kutukia sekunde 9.80, mbele ya Mike Rodgers wa Marekani aliyetumia sekunde (9.90) na Mjamaika mwenzake Nesta Carter aliyetumia (9.94).
"Nilipata majeraha mwanzoni kwa hiyo haukuwa msimu mzuri kwangu katika kipindi cha maisha yangu," alieleza BBC Sport.
"Kitu muhimu ni kwamba nimemeliza juu."
No comments:
Post a Comment