Shakira Anaiuza Nyumba Yake Iliyopo Miami Beach kwa $14.95 Million


Mwanamuziki Shakira anaiuza nyumba yake iliyopo kwenye ufukwe wa Miami huku akitaja kiasi cha $14.95 million kama ndiyo ofa yake, akionekana kutotengeneza faida hata ndogo.

Mkali huyo mwenye sauti ya kipekee aliinunua nyumba hiyo kwa kiasi kidogo cha $3.38 million, kwa mujibu wa Redfin, na kufanikiwa kuipandisha thamani zaidi ya mara tatu ya ile iloyokuwa nayo mwanzoni alipoinunua, katika kufanikisha mpango huo alijenga vyumba na mabafu ambayo yaliongeza thamani ya nyumba hiyo yenye eneo la skwea mita 1,663.

Majirani zake kwenye eneo hilo liliilopo barabara ya North Bay ni pamoja na Alex Rodriguez, Matt Damon, Jennifer Lopez, na Ricky Martin.

Icheki kwa karibu kwenye picha hapo chini......




No comments:

Post a Comment