Rihanna Atoka na Kivazi Cheusi cha Mitego

Rihanna na Kivazi
Mrembo huyu wa Bajan alinaswa na kamera akiwa anatoka kwenye night club ya Play House iliyopo ndani ya Hollywood mnamo siku ya Alhamisi usikuakiwa amevaa nguo hii ambayo inaonyesha maungo yake kimtindo.

Je umeupenda fasheni hii...?

Alipokuwa Anatoka

No comments:

Post a Comment