Mcheki Mtoto wa Jay Z na Beyonce Anavyokuwa Haraka
Mtoto wa Jay-Z na Beyoncé aitwaye Blue Ivy anaonekana zaidi kufanana na baba yake kila siku zinavyozidi kwenda. Mtoto huyo mwenye miezi 18 alipigwa picha akiwa na baba na mama yake katika hali inayoonekana kifamilia zaidi, wakiwa wanatoka kupata lunch kwenye mgahawa wa Nervosa Trattoria Italian ndani ya Toronto, Canada mnamo siku ya Jumatano.Cheki picha zaidi hapo chini....
No comments:
Post a Comment