Liverpool Yakataa Ofa Nyingine ya Arsenal Kumnunua Luis Suarez kwa £40m

Luis Suarez
Liverpool imekataa ofa ya £40m toka kwa timu ya Arsenal kwa ajili ya mshambuliaji wake Luis Suarez.

Hii ni mara pili kwa Liverpool kukataa ofa ya Arsenal, huku ikishikilia msimamo wa kubaki na mchezaji huyo ambaye alifunga jumla ya magoli 30 kwenye mechi 44 alizochezea klabu hiyo msimu uliopita.

No comments:

Post a Comment