HBD To Mimi..... (UJUMBE)

Dan Chibo
"Usipokuwa na tabia ya KUWASHUKURU wanaostahili basi nao watajifunza namna ya kuacha kufanya vitu UNAVYOVIPENDA na KUVIKUBALI..."

Napenda kuchukua nafasi hii KUWASHUKURU wote mnaonipongeza na kunitakia HERI kwenye SIKU hii MUHIMU kwangu...

Nawapenda WOTE na KUWAKUBALI sana...

Asante Wewe Uliye Juu (MUNGU) kwa Kuendelea Kunilinda na Kunipa Pumzi....

 
21st July
 
Dan Chibo

No comments:

Post a Comment