FORBES: Real Madrid Yaongoza Kiutajiri kwa Timu za Michezo Duniani


Real Madrid wameipiku Manchester United kama timu ya michezo yenye thamani kuliko zote duniani.

Los Blancos, ambao wanakadiliwa kuwa na utajiri wa dolla billioni 3.3 kwa mujibu wa Forbes, wana mapato ya juu zaidi ya timu yoyote kwenye michezo (wakiingiaza dolla millioni 650 kwa kipindi cha msimu wa 2011-12), wakati makusanyo ya uendeshaji ambayo ni kiasi cha dolla millioni 134 ndio thamani ya timu ya kwenye ligi ya NFL iitwayo Dallas Cowboys.
Namba mbili kwenye horodha hiyo ni Manchester United, wakifuatiwa na Barcelona halafu timu ya New York Yankees.

No comments:

Post a Comment