Cheki Jumba la P-Square (Square-Ville’ Mansion) Kwenye Hatua za Mwisho

Kaka wa P-Square Akisimamia
Wanamuziki wawili wanaounda kundi la P-Square hivi karibuni wameweka picha za picha za ujenzi wa jumba lao la kifahari unaoendelea jumba waliloliita Square-Ville Mansion.

Nilishawahi kukuwekea picha ambazo zilionyesha hatua ya awali za ujenzi huo kipindi ambacho jumba hilo lilikuwa kwenye hatua ya chini kabisa na hii ni baada ya miezi kadhaa, ikikaribia kuisha.

Kama kawaida, kaka yao mkubwa, ambaye ndiye anayeonekana kuwa msimamizi wa mpango huo, alikuwa aeneo la ujenzi, akifatilia hatua za ujengwaji.
 

Safi P-Square, kwa wasanii wa kwetu vyema pia mkigaa maendeleo na sio kuishia kukopi style na miziki ya wenzenu.....

No comments:

Post a Comment