Abiria Walisukuma Treni Kumuokoa Mwanamke (PICHA)

Kazi ya Uokoaji Ikiendelea
Kundi kubwa la abiria nchini Japan ilibidi lisaidie kusukuma treni lenye uzito wa tani 32 kumuokoa mwanamke mmoja ambaye alianguka na kutumbukia kwenye upenyo kati ya treni na kingo za ukuta asubuhi ya Jumatatu.

Mwanamke huyo ambaye hukuweza kufahamika jina alifanikiwa kuokolewa toka kwenye zahama hiyo iliyotokea kwenye stesheni ya JR Minami-Urawa, kaskazini mwa jiji la Tokyo.

Baaada ya dakika nane za kuchelewa, treni hilo liliendelea na safari yake.


CHANZO: AP

No comments:

Post a Comment