Sura ya Mwisho ya Mangwea Leaders Club Leo (PICHA)


Leo ndio ilikuwa ni siku maalum kwa wakazi wa jiji la Dar kushiriki kwenye zoezi la kumuaga ndugu na mpendwa wao Albert Mangwea, msanii aliyefariki nchini Afrika Kusini wiki iliyopita.

Chini nimeweka baaadhi ya picha za matukio mbalimbali....














R.I.P Albert Mangwea......

No comments:

Post a Comment