Michael Douglas Akana Kansa Yake Kusababishwa na Kwenda Chumvini

Michael Douglas
Nyota toka Hollywood muigizaji, Michael Douglas amekana kwamba aliwahi kusema kwamba kansa yake koo ilitokana na mchezo wa kupenda sana kwenda chumvini.

Muwakilishi wa muigizaji huyo wa filamu, Allen Burry aliieleza Associated Press kwamba Michael alikuwa anaongelea sababu zinazoweza kusababisha aina ya kansa aliyonayo, ila sio kwamba yeye alipata sababu ya tendo hilo.

No comments:

Post a Comment