Miami Yaipiga Indiana Pacers Kwenye Mchezo wa 7, Kukutana na San Antonio Spurs Kwenye Fainali ya NBA

LeBron James na Dwyane Wade
Baada ya miaka ya kuwa na fainali za kushangaza, kwa waliotegemewa kushinda kutokea kufungwa. Timu ya Miami Heat waliweza kuwafunga Indiana Pacers kwa 99-76 kwenye mchezo wa upande mmoja ushindi wa mechi 7 kwenye usiku wa siku ya Jumatatu, ikipata nafasi ya kukutana na wenzao wa Magharibi tokea San Antonio kwenye fainali za NBA.

No comments:

Post a Comment