Mcheki Demu wa Chris Brown Ndani ya Bikini Matata

Tattoo Nyuma ya Mguu
Karrueche Tran aliamua kujiachia akiwa na bikini nyeusi matata mnamo siku ya Jumamosi kabla ya  kushiriki kwa kuiendesha pati iliyofanyika ndani ya klabu moja ndani ya Florida.

Msichana huyo mwenye umri wa miaka 25 ambaye ni mwanamitindo na mbunifu wa mitindo alivaa vipande viwili vya nguo flani kama za kuogea hivi zilizoonyesha mwili wake vile ipasavyo.


Kwenye picha hiyo pia unamuona Tran akionyesha tattoo inayoonekana kama zipu ambayo inataka kufunguka ikianzia chini kidogo ya moja kati ya kalio lake, pia kwenye mwili wake kuna vitu vingine vya kuvutia kama alivyonavyo jamaa yake, Chris Brown.


Karrueche Tran
Unafikiriaje juu ya hiki?  Iko poa ama...?

No comments:

Post a Comment