Kanye na Kim Kupata Mtoto wa Kike


Kanye West na Kim Kardashian ni wazazi wa mtoto wa kike anayetegemewa kuzaliwa mnamo mwezi wa saba huku Kanye akiielzwa kwamba naye atakuwepo kwenye siku ya kuzaliwa kwa mtoto huyo licha ya kwamba kwa sasa amekuwa yupo mbio kushughulikia kutoka kwa album yake mpya, Yeezus, ambayo inategemea kutoka mnamo Jumanne June 18.

Mapema happo juzi ilitaarifiwa kwamba nyota huyo anategemea kujifungua katikati ya mwezi wa saab, hii ni kwa mujibu wa TMZ.



Hongera kwa Kanye na Kim...!

No comments:

Post a Comment