Big Brother Kuonyesha Utupu wa Washiriki Wanapokuwa Wanaoga
Watazamaji wa shindano la Big Brother ndani ya Africa wanaweza kujiunga ili kuweza kupata huduma maalumu ya VIP itakayowawezesha kuangalia washiriki wakiwa wanaoga uchi wa mnyama bafuni.
Huduma hiyo inagharimu kiasi cha Randi 70 ya Afika Kusini ambayo ni sawa na shilingi za bongo kama 8000 hivi, ikiwapa watazamaji vipande vya video vya washiriki hao wakiwa watupu kwenye matukio mbalimbali.
Kwa kuanzia wiki hii vipande ambavyo vilipata matukio hayo viliwashirikisha wanadada Pokello Nare na Cleo kwenye matukio mbaalimbali wakiwa watupu bafuni.
Pokello, 27, kutoka Zimbabwe, alikuwa uchi wa mnyama kabisa wakati anaoga bafuni.
Huku watazamaji wakimuona Cleo, 23, kutoka Zambia, akijisugua huku akiwa hajavaa chochote juu.
Mtu yeyote mwenye umri wa miaka 18 na kuendelea anaweza kujiunga na huduma hiyo iliyoitwa BBVIP na kuangalia vipande virefu vya matukio ya washiriki wakiwa bafuni wanaoga.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment