Neno La Eniola Badmus


"Nashangaa kwa nini watu wanapenda kufatilia mambo ya wenzao na kuacha kufanya yao, inakuwaje unywe panadol kwa maumivu ya kichwa kinachoumwa na mtu mwengine.."

"Kuwa mnene au mwembamba haileti maana au tofauti yoyote, kwa hiyo nyie watu hebu fatilieni yenu na mimi nicheni nifanye yangu"

No comments:

Post a Comment