Kutana na Wapenzi wa Kwanza wa Kwenye Jumba la Big Brother Africa ‘The Chase’ (PICHA)
Hakika hii inaweza kuwa kazi ngumu, ikiwa ni siku ya tatu tu toka shindano la Big Brother "the Chase" kwa mwaka huu kuanza na huku washikiri wakiwa ndio kwanza wanaanza kufahamiana.Hebu sikia hii, washiriki toka Ethiopia, Betty na yule wa Sierra Leone, Bolt walibambwa na kamera za jumba hilo jana usiku wakipeana mambo matamu.Cheki kwenye picha hapo down.....
No comments:
Post a Comment