Je Hata Kwenu Zipo au Badobado...?
Hakika wamiliki wa maduka na wafanyabiashara kwa ujumla watafanya kila linalowezekana ili mradi waweze kuwashawishi wateja wao waje kwenye biashara zao.Hebu cheki hii, mgahawa mmoja nchini Ufaransa uitwao “The Ananas Bar & Restaurant” uliopo ndani ya jiji la Sydney, umeweka sinki za kutolea haja ndogo zenye muonekano wa kipekee katika kile kinachoonekana kuvutia wateja wake.Sinki hizo zimetengenezwa kama mdomo wa mwanamke ukiwa na lips nyekundu....
No comments:
Post a Comment