50 Cent Awaita Rick Ross Na P. Diddy Marafiki Mashoga

Picha Aliyoitumia 50 Kwenye Instagram
Hakika 50cent anajiingiza kwenye bifu zito na Rickross, hii ni mara baada ya msanii huyo kupitia akunti yake ya Instagram kuweka picha inayoonyesha Rickross na P. Diddy wakiwa wanakumbatiana, huku mtazamo wa pili wa picha hiyo ikionyesha kana kwamba wawili hao walikuwa wanapigana busu.
 

Chini ya picha hiyo 50 aliweka maandishi yanayosema; GOOD MORNING GIRL. love is in the air akimaanisha ZA ASUBUHI MSICHANA. mapenzi yapo hewani....

No comments:

Post a Comment