Vipengele Vya Tuzo Za Kili Music 2013


Majina ya Wasanii, Waandaaji Muziki na vikundi kwa ajili ya Tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013

WIMBO BORA WA MWAKA
Dear God - Kala Jeremiah
Leka dutigite - Kigoma all star
Mapito - Mwasiti Feat Ally Nipishe
Me n U - Ommy Dimpoz Feat Vanessa Mdee
Pete- Ben pol

MSANII BORA WA KIUME
Ben Pol
Diamond
Linex
Mzee Yusuf
Ommy Dimpoz

MSANII BORA WA KIKE
Isha Mashauzi
Khadija Kopa
Lady Jaydee
Mwasiti
Recho

MSANII BORA WA KIKE - TAARAB
Isha Mashauzi
Khadija Kopa
Khadija Yusuph
Leila Rashid

MSANII BORA WA KIUME - TAARAB
Ahmed Mgeni
Hashim Said
Mzee Yusuf

MSANII BORA WA KIUME - BONGO FLAVA

Ally Kiba
Ben Pol
Diamond
Linex
Ommy Dimpoz

MSANII BORA WA KIKE - BONGO FLAVA
Linah
Mwasiti
Recho
Shaa

MSANII BORA WA HIP HOP

Fid Q
Joh Makini
Kala Jeremiah
Profesa J
Stamina

MSANII BORA WA KIUME - BENDI
Chalz Baba
Dogo Rama
Greyson Semsekwa
Jose Mara
Khaleed Chokoraa

MSANII BORA WA KIKE - BENDI

Anneth Kushaba
Luiza Mbutu
Mary Lucos
Vumilia

MSANII BORA ANAYECHIPUKIA
Ali Nipishe
Angel
Bonge la Nyau
Mirror
Vanessa Mdee

VIDEO BORAA YA WIMBO WA MWAKA

Baadae - Ommy Dimpoz
Kamili gado - Professor J Feat Marco Chali
Marry Me - Rich Mavoko
Nichum - Bob Junior
Party Zone - AY Feat Marco Chali

MTUNZI BORA WA MASHAIRI - TAARAB
Ahmed Mgeni
Hemed Omary
Khadija Kopa
Mzee Yusuf
Thabit Abdul

MTUNZI BORA WA MASHAIRI - BONGO FLEVA
Ally Kiba
Barnaba
Ben Pol
Linex
Ommy Dimpoz


MTUNZI BORA WA MASHAIRI - HIP HOP
Fid Q
Joh Makini
Kala Jeremiah
Mwana Fa
Stamina

MTUNZI BORA WA MASHAIRI - BENDI
Chalz Baba
Grayson Semsekwa
Jonico Flower
Jose Mara
Khaleed Chokoraa

MTAYARISHAJI BORA WA MWAKA - MUZIKI WA KIZAZI KIPYA
Bob Junior
Ima the boy
Man Water
Maneke
Marco chali
Mensen Selecta

MTAYARISHAJI BORA WA MWAKA - TAARAB
Bakunde
Enrico

MTAYARISHAJI BORA WA MWAKA - BENDI
Allan Mapigo
Amoroso

MTAYARISHAJI CHIPUKIZI WA MWAKA
Imma the Boy
Mensen Selecta
Mr T Touch
Sheddy Clever

RAPA BORA WA BENDI

Fagasoni
Greyson Semsekwa
J4
Jonico Flower
Sauti ya Radi

WIMBO WENYE VIONJO VYA ASILI

Aambiwe - Offside trick
Atatamani - AT
Boma la utete - Young D
Chocheeni kuni - Mrisho Mpoto Feat Ditto
Mdundiko - Momba Feat Juma Nature

WIMBO BORA WA BENDI

Chanzo ni sisi - Mapacha watatu
Jinamizi la Talaka - Mlimani Park Orchestra
Risasi kidole - Mashujaa band
Shamba la twanga - African Stars band

WIMBO BORA WA REGGAE

Hii si ya waoga - Yuzzo
Kilimanjaro - Warriors from The East
Natafuta Paradise - Mac Malick Simba
Salvation - Delayla Princess
Tunda - Hardmad

WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI

Fresh All Day - Camp Mulla
Make you dance - Keko Feat Madtrax
Maswali ya polisi - DNA
Still a Liar - Wahu
Valu Valu - Jose Chameleone

WIMBO BORA - BONGO POP

Aifola - Linex Feat fundi Samweli
Baadae - Ommy Dimpoz Feat Angel
Chuki Bure - Sharo Milionea Feat Dully Sykes
Marry Me - Rich Mavoko
Me and you - Ommy Dimpoz Feat Vanessa Mdee

WIMBO BORA WA KUSHIRIKIANA /KUSHIRIKISWA
Chuki Bure - Sharo Millionea Feat Dully Sykes
Mapito - Mwasiti Feat Ally Nipishe
Me and U - Ommy Dimpoz Feat Vanessa Mdee
Sihitaji marafiki - Fid Q Feat Yvonne
Single Boy - Alikiba Feat Lady Jaydee

WIMBO BORA WA HIP HOP
Alisema - Stamina Feat Jux
Bum kubam - Nikki wa Pili Feat G Nako
Dear God - Kala Jeremiah
Nasema Nao - Nay wa Mitego
Sihitaji Marafiki - FID Q Feat Yvonne

WIMBO BORA WA RnB
Amerudi - Belle 9
Kuwa na Subira - Rama Dee Feat Mapacha
Maneno maneno - Ben Pol
Pete - Ben Pol

WIMBO BORA WA RAGGA/DANCEHALL

Je ni nani - Ras Six
Muda upite - Susu Man
Predator - Dabo
Push Dem - Dr Jahson
Take it down - Chibwa and Tanah

WIMBO BORA WA TAARAB
Mjini chuo kikuu - Khadija Kopa
Mpenzi chocolate - Jahazi [Mzee Yusuph]
Si bure una mapungufu - Isha Mashauzi [Mashauzi Classic]
Sina muda huo - Jahazi [Leila Rashid]
Siwasujudii Viwavi jeshi -Isha Mashauzi [Mashauzi Classic]

WIMBO BORA WA ZOUK/RHUMBA

Gubegube -Barnaba
Mapito - Mwasiti Feat Ally Nipishe
Nashukuru umerudi - Recho
Ni wewe - Amini
Sorry - Barnaba

BENDI BORA YA MWAKA

African Stars Band
Mapacha wa tatu
Mashujaa Band
Mlimani Park Orchestra [Sikinde]
Msondo Ngoma Music band

KIKUNDI BORA CHA TAARAB
Dar modern Taarab
Five stars modern Taarab
Jahazi Modern Taarab
Kings modern Taarab
Mashauzi Classic

KIKUNDI BORA CHA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA
Jambo squad
Makomando
Tip Top Connection
Tmk wanaume family
Weusi

No comments:

Post a Comment