Muandaaji/ Mtangazaji Esther Stephen Namuhisa Wa TBC fm

Anaitwa Esther Stephen Namuhisa, Muandaaji na Mtangazaji wa Vipindi pale TBC kwenye kitengo cha FM.
Msikilize kila siku za wiki kwenye kipindi cha Busati kinachoruka hewani kuanzia saa 12 mpaka 3 asubuhi, pia kwa kila siku ya Jumamosi kwenye kipindi chake cha Ndio Mambo, kinachoruka  kuanziasaa 10 mpaka saa 12 jioni.
Mzalendo halisi toka Bongo...
Siku njema ya Muungano....!

No comments:

Post a Comment