JANUARY =:> Jasiri na mkorofi FEBRUARY = :> Mwenye bahati na mkweli MARCH =:> Msumbufu ana wivu na penzi la kweli na ni mzuri APRIL=:> Anajali na ni mpiganaji shupavu MAY =:> Mwenye upendo na aliye halisi sio fake JUNE =:> Mwenye mvuto wa mapenzi na kiu ya kujua mambo tifauti JULY =:>Amebarikiwa vipaji na ana busara sana AUGUST =:> Mtu Makini na mchapa kazi hodari SEPTEMBER =:>Anaelewa haraka na ni mzuri kimuonekano OCTOBER =:> Anakwenda na wakati na ni rafiki mzuri NOVEMBER= :> Ana kipajina ni mbunifu DECEMBER =:> Mtakatifu/mcha Mungu Wewe upi ni wako mwezi...?
No comments:
Post a Comment