Ngoma Mpya ya Jos Mtambo "SHUT UP"

Jos Mtambo Feat. Pipi - Ngoma inaitwa SHUT UP Bonge la Ujumbe maalum kwa wale ma-haters ambao ishu zao ni kuwakandia mademu zao na wale waliwachukulia sababu ya uzembe wao au kutokana na kuzidiwa maarifa...! MSTARI: "Unaogopa kupiga mbizi baharini unaona kinyaa unaogopa kithaa thaaa........" Toka TONGWE REC. ni Jos Mtambo Featuring Pipi Produced by J-RYDER. The track is is called SHUT UP.

No comments:

Post a Comment