Friday Dadaz Nite ndani ya Galapo Club Masai IALA Ijumaa Hii na Kila Ijumaa
|
Wadau Ndani ya House |
Kwanza kabisa natoa Big Up kwa Kila Mmoja aliyefika na ku-show love Ijumaa iliyopita ndani ya Galapo Club Masai Ilala, hakika ilikuwa si ya mchezo ambayo si vyema kukosa.
|
Warembo wakali Ndani ya Galapo Masai Ilala |
Warembo na ma-duu toka kila pande huwa hawakosi, Ma-men na ma-star mbalimbambali ni kibwena.
|
Ni Full Bata |
Kama unavyojionea si ishu ya Kukosa kila inapofika siku hiyo, Kama kawa kama dawa theme ni Dadaz Nite, Warembo wakali na Ma-star toka kila kona ya jiji wanakutana hapo kupata Good Time...!
|
Ni Wewe tu Ushindwe fika |
So kwa Ijumaa hii kama vipi Stay tuned kufahamu Swagga yetu itakuwa ipi.
Dj Dan Chibo, Dj Fax na Dj Spesso wakiwa kwenye moja na mbili.
|
Ni Mpango Mzima |
Ni Ijumaa hii na kila Ijumaa ndani ya Galapo Club Masai, ambapo Ladies huingia FReeeeeeee, na Wanaume wanacangia kiingilio cha Promo kwa sasa, yaani buku tatu tuuu!
read more "Theme ya Dadaz Nite yazidi BAMBA..!"