Ijumaa hii Swagga ni KIDUKU Chako..!

Warembo ndani ya Galapo Club Masai Ilala Kila Ijumaa

Kama unavyocheki hapo juu kwa picha hakika hii ni ya kiutu uzima na si ya kukosa!
Kwa maana huwa kuna Warembo Wakali na Mastaa Kibao hutia timu...!
Ni Friday Dadaz NITE ndani ya Galapo Club Masai (ILALA)
Ijumaa hii Swagga yetu ni "MCHUCHUMIO ukidatishwa na KIDUKU"
Zawadi za Vinywaji na Pesa Taslimu zitatolewa kwa WASHINDI watakaodatisha....!
 Ladies wanaingia Bure a.k.a FRee & Wanaume ni BUKU tatu TU...!
Dj Dan Chibo, Dj Fax and Dj Spesso na Guest Packy & Dj Micho (Pro 24)
Ni Ijumaa hii ndani ya Galapo Club Masai (Ilala)
Mnakaribishwa wote.....!

No comments:

Post a Comment