
Umeandika Mtandao wa Sohh:Kwa mujibu wa taarifa, jamaa anayeitwa Rodrigo Ruiz amefungua kesi dhidi ya J. Lo akidai kwamba mwanamuziki na muigizaji huyo alimuomba yeye amtumie picha zake za utupu pamoja na demo ya mziki wake.Anasema barua hiyo ilimpelekea kuamini kwamba ana nafasi kwenye maisha yake ya kimuziki na hata kwenye mahusiano ya kimapenzi na Lopez, ila sababu J.Lo hakuendelea kufatilia hivyo jamaa alikuja kukata tamaa.Ruiz...