Zitto Kabwe Ashinda Pingamizi Dhidi ya CHADEMA, Sasa Baraza Kuu la Chama Kuamua Uanachama Wake

Judge kaamua kuwa kamati haitakuwa na mamlaka ya kujadili uanachama wake mpaka atakaposikilizwa na pingamizi lake na baraza ndio litakalo amua uanachama wake.

Kamati kuu ya chadema haitajadili uanachama wake au chombo chochote hadi kesi ya msingi isikilizwe.

Chanzo: EATV

No comments:

Post a Comment