Nissan Wazindua Aina Mpya ya Tax za London

Watengenezaji wa gari aina ya Nissan wameanzisha aina mpya ya gari za usafiri wa binafsi zilizoitwa London black cab, gari hii ina injini ambayo itakuwa na uwezo mkubwa sana kimazingira mbali zaidi ukilinganisha na wapinzani wake.

Aina hii mpya ya Tax, ambayo imekuja na injini ya petrol ya 1.6 badala ya injini ya dizeli ya 2.5 inafaa kwa ajili ya tax za magari ya kwenye miji mingi mikubwa.

Cheki picha zaidi hapo chini...



No comments:

Post a Comment