Anaitwa Dencia ambaye amewahi kushirikishwa kwenye video za muziki za wasanii wakimataifa wenye majina makubwa kama Ludacris, Lady Gaga, Chris Brown, 50 Cent na wengine wengi.
Yeye pia ni mwanamuziki na amekuwa nje ya mahusiano kwa miaka miwili na zaidi, na amepanga kuishi hivyo mpaka atakapokuja kumpata mtu wa kufunga naye ndoa na si kumchezea tu.
Hivi karibuni alikuwa akichat na rafiki yake mmoja kuhusiana na hilo na kupitia ukurasa wake wa Instagram aliposti sehemu ya mazungumzo yao.
No comments:
Post a Comment