Mwanamuziki Chris Brown Akabiliana na Kwenda Jela

Mshindi wa tuzo za Grammy kwa upande wa uimbaji wa R&B Chris Brown, amekana mashtaka yanayomkabili juu ya kumshambulia na kumjeruhi mtu nje ya Hotel ya Washington, Wakili wake amesema mnamo siku ya Jumatano.
Brown anashtakiwa kwa kumvunja pua mkazi wa Maryland mwenye umri wa miaka 20 ambaye alijaribu kutaka kupiga picha na yeye mnamo mwezi October. Mlinzi wake, Christopher Hollosy, naye anakabiliwa na shitaka kama hilo.

No comments:

Post a Comment