Mama Afunguka - Napata Hisia za Kimapenzi Pale Mwanangu wa Miezi Saba Anaponyonya Maziwa [BARUA]

Hii inashangaza sana, na mama huyu ameamua kufunguka kutokana na hali hii inayomtatiza kwa sababu kweli anahitaji msaada. Hili ni chozi lake...
   Mimi ni nesi pia ni mama mwenye mtoto na ni mke wa mtu. Huwa nalowa na wakati mwengine kuja kabisa wakati ninapokuwa namnyonyesha mtoto wangu mwenye miezi 7 ambaye ni wa kwanza kumzaa. Anaponyonya maziwa yangu... gosh!

    Nini kinaendelea kwangu? Je kuna wamama wengine ambao wanahisia kama za kwangu? Nini naweza kufanya kuifanya hali hii isiendelee? Je ndiyo kusema naanza kuwa na hisia za kufanya mapenzi na mtoto wangu au ni ni hiki hasa? Tafadhali naomba msaada wenu kimawazo!

No comments:

Post a Comment