Huyu Hapa Rihanna Mtupu Akiwa Ufukweni kwa Ajili ya Picha za Jarida la Vogue [PICHA]

Rihanna ameuchachia mwili wake matata akiwa hana hata sidiria huku vipande vya karatasi pekee vikiziba chuchu zake, picha hizi ni maalum kwa jarida la Vogue toleo la Brazil ambazo alizipiga ufukweni…
Wengi wangeweza kudhani kwamba picha hizi amezipiga kwa ajili ya jarida la For Him (FHM), hapana ila ukwli ni kwamba picha hizi ni ajili ya jarida linalokubalika sana la mitindo la Vogue toleo maalum la nchini Brazil.

Nyota huyo wa muziki wa pop amepigwa picha tano za maeneo tofauti huku akiwa kwenye pozi mbalimbali alipokuwa akipozi kwa ajili ya picha hizozilizopigwa kwenye kisiwa Angra dos Reis kilichopo nchni Brazil.






No comments:

Post a Comment