Yaya Toure Ashinda Tuzo ya Mwaka ya BBC Kama Mchezaji Bora wa Afrika
Mshindi wa tuzo ya mwaka 2013 ya mchezaji bora wa Afrika toka BBC imekwenda kwa kiungo wa timu ya Manchester City aitwaye Yaya Toure, hii ni mara baada ya mchezaji huyo kuingizwa kwenye kinyang'anyiro hicho mara tano.
Walioingia kwenye hatua ya mwisho ya mchuano huo alikuwemo Yaya Toure, Victor Moses, John Mikel Obi, Jonathan Pitroipa na Pierre-Emerick Aubameyang.
No comments:
Post a Comment