Oooh Mungu Wangu, Nicki Minaj Ajianika Zaidi [PICHA]

Rapa wa kike toka US Nicki Minaj kupitia ukurasa wake wa Instagram ameposti picha zake mpya.

Hivi karibuni ukurasa wa Instagram wa mwanamuziki Maheeda uliiingia kwenye utata mara baada ya kufutwa sababu ya kuweka picha zake za utupu. 

Unadhani Nicki Minaj naye yupo kwenye hatari hiyo kwa kitendo chake cha kuweka picha hizo hapo chini...?




No comments:

Post a Comment