50 Cent & Ja Rule Wapanda Ndege Moja

50 Cent & Ja Rule

Na kumbe walikaa kwenye mtari mmoja...!

Kutoka maadui wakubwa mpaka kupanda ndege moja ni kitu cha kushangaza kimtindo kwa watu hawa, ila hivyo ndivyo ilivyotokea hivi karibuni kwa 50 Cent na Ja Rule.


Marapa hawa wawili walijikuta wapo ndani ya ndege moja na walikuwa wamewekwa kwenye mstari mmoja, hebu ifikirie hii ingetokea kindi cha mwanzoni mwa miaka ya 2000 hakika hata ngumi naamini zingeweza kurushwa ndani ya ndege hiyo ila inaonekana wawili hawa wameamua kuzizika tofauti zao.

Ja Rule ali-tweet juu ya tukio hilo la kushangaza kiaina.



No comments:

Post a Comment