Hii Sasa Noma, ni Nini Tena? Mgahawa wa Choo? (PICHA)

Hebu cheki mgahawa huu wa ajabu uliopo kusini mwa jiji la California, mgahawa wa kwanza uliotengenezwa kwa mfano wa choo.

Kila kitu kuazia vyombo vya chakula na viti vimetengenezwa zaidi kwenye muonekano wa choo na bafu.

Cheki Picha hapo DOWN...

No comments:

Post a Comment