Rihanna Aliporudi Kwao Barbados Kuparee Kwenye Tamasha (PICHA)

Watu wote waliyehusika naye ilibidi nao wajumuike na kuwa sehemu ya tamasha la mavuno ambalo hufanyika Barbados nyumbani kwa kina Rihanna, kuanzia walinzi wake wa kike hadi wapambe wake.

Mwanamuziki huyo alienda kwenye tamasha hilo la Barbados mapema ya mnamo siku ya Jumamosi kwenye makao makuu ya kisiwa hicho panapofahamika kama Bridgetown.

Cheki hapo chino picha za Rihanna wa akiwa kwenye tamasha hilo na wadau wake....







No comments:

Post a Comment