Ronaldo Ajiingiza Kwenye Biashara ya Ngono

Ronaldo De Lima
Nguli wa mpira wa miguu toka nchini Brazil Ronaldo ameamua kuanzisha maisha mapya kama mda wa karibu wa mambo ngono, imeelezwa jana.

Vyanzo vimeeleza kwamba nyota huyo wa zamani wa Kombe la Dunia na timu ya Real Madrid anatumaini la kununua haki za jarida la Playboy la Kifaransa na yupo njiani kutuma maombi.

Pia wanasema Ronaldo, 36, analiona jarida hilo ambalo ni la kumi kwa ubora wa mauzo nchini Brazil kuwa ni fursa nzuri sana kibiashara.

No comments:

Post a Comment