Beverly |
Picha za utupu za muwakilishi toka Nigeria ndani ya Big Brother Africa: The Chase, Beverly Osu zimeanza kuenea kwenye mitandao.
Japo Beverly sio mshiriki pekee ndani ya jumba hiloila picha zake zimeonekana kusambaa kwa kasi ukilinganisha na washiriki wengine ndani ya jumba hilo.
Kuvuja kwa picha hizo kunazua maswali mengi huku watazamaji wengi wakihoji utu na utamaduni wa Kiafrika unavyopotea.
Chini ni baadhi ya picha za nyota huyo wa Big Brother star:
Wapi hili shindano linatupeleka na kutufundisha Waafrika....?
No comments:
Post a Comment