Mwanadada Mwenye Mvuto Halle Berry Aolewa kwa Mara ya Tatu na Oliver

Berry na Oliver
Kwa mujibu wa vyombo vingi vya habari, Halle Berry, 46, na Olivier Martinez, 47, wamefunga ndoa.

Wawili hao wameoana mnamo siku ya Jumamosi July 12 ndani ya Chateau des Conde sehemu ambayo Olivier ametokea nchini Ufaransa.

Hii ni ndoa ya tatu kwa Halle na ya kwanza kwa Olivier. Na mtoto wao wanayemtarajia atakuwa ni mtoto wa kwanza wa Olivier.


Wakiwa Matembezi

No comments:

Post a Comment