Mama Mrembo! Shakira Akiionyesha Dunia Umbo Lake na Bikini Huku Akiwa Anakula Raha na Mpenzi Wake Pique (PICHA)

Shakira Kwenye Maji
Wachezaji wengi wa mpira wa miguu kwa sasa wapo kwenye ziara mbalimbali na timu zao, whuku wakiwa kwenye mazoezi ya nguvu kujiandaa na msimu mpya wa ligi – ila GERARD PIQUE kwa sasa yeye yupo kivyake akiwa anajiachia Hawaii na wake mrembo SHAKIRA.

Nyota huyo wa timu ya Barcelona yupo kwenye likizo ya ziada iliyorefushwa kutokana na ushiriki wake kwenye michuano ya Kombe la Mabara iliyomalizika nchini Brazil mwezi uliopita.

Na hii ni mara ya kwanza kwe Pique kumuona demu wake akiwa amevaa bikini huku kwenye jamii toka alipojifungua mtoto wao wa kiume miezi sita iliyopita.

 
Shakira na Pique



Shakira Akiwa Anakimbia
Vipi wanapendezana ama...?

No comments:

Post a Comment