Genevieve Nnaji Asema: Sijawahi Kufanya Mapenzi Ndani ya Miaka 10 Iliyopita

Genevieve Nnanji
Wengi wanaitilia shaka kauli yake, wakisema kama ni njia anayoitumia kumpumbaza yule mwanaume anayetaka kumuoa, na kwa kauli hii Ms Genevieve Nnaji anaonekana kuwashtua watu wengi, huku akisisitiza kuwa hajawahi kuingiliwa na mwanaume kwa miaka 10 iliyopita.

Chini ni kile ambacho Genevieve alikisema juu ya "KITU" chake:

”Nimekuwa sipo kwenye mahusiano kwa muda mrefu, haikuwa ni rahisi, hata wakati D'banj alipokuja na mambo yake kwamba haikuwa ni kitu cha muda mrefu akirudia kusema HAKUNA KITU KIREFU...... HAKUNA KITU KIREFU... sikuwa najua kwamba alikuwa akimaanisha nini hasa mpaka nilipokuja kukiona… tulishindwa kuyamaliza. 

"Bahati ikawa kwangu, sasa nimempata mtu wa kuwa naye kwa maisha yangu yote.”



"Nimekuwa sipo kwenye
mahusiano kwa muda mrefu,
haikuwa ni rahisi"

Muigizaji wa Nigeria
Genevieve Nnanji

Hebu niambie nini unachofikiria, je ni kweli kwamba "KITU" cha Genny kilikuwa kimefungwa kwa miaka 10?

No comments:

Post a Comment